Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Kamati ya SJMT, SMZ yatatua Hoja ya Muungano
Apr 25, 2026
Kamati ya SJMT, SMZ yatatua Hoja ya Muungano
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiongoza kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ya kushughulikia Masuala ya Muungano kilichofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar, leo tarehe 25 Aprili 2026.
Na robert Hokororo

Viongozi mbalimbali wakishiriki Kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ya kushughulikia Masuala ya Muungano kilichofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar, leo tarehe 25 Aprili 2026.

akiongozaViongozi mbalimbali wakishiriki Kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ya kushughulikia Masuala ya Muungano kilichofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar, leo tarehe 25 Aprili 2026.

Viongozi mbalimbali wakishiriki Kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ya kushughulikia Masuala ya Muungano kilichofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar, leo tarehe 25 Aprili 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, wakishuhudia utiaji Saini wa kuondoa hoja ya Uingizaji wa Sukari kutoka Zanzibar katika Soko la Tanzania Bara katika orodha ya hoja za Muungano. Makubaliano hayo yamefanyika wakati wa kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ya kushughulikia Masuala ya Muungano kilichofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar, leo tarehe 25 Aprili 2026.

Wanaosaini hati hizo ni Waziri wa Viwanda na Biashara wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Judith Kapinga, Waziri wa Kazi na Uwekezaji Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Sharif Ali Sharif, Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Hamza Johari pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Dkt. Mwinyi Talib Haji.

Waziri wa Viwanda na Biashara wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Judith Kapinga na Waziri wa Kazi na Uwekezaji Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Sharif Ali Sharif wakionesha Hati ya Makubaliano ya kuondoa hoja ya Uingizaji wa Sukari kutoka Zanzibar katika Soko la Tanzania Bara katika orodha ya hoja za Muungano.

=========================================================================================

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameongoza kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ya kushughulikia Masuala ya Muungano kilichofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar.

Makamu wa Rais amewapongeza viongozi na wataalamu wote walioshiriki katika kikao hicho kwa jitihada walizofanya wakati wa maandalizi na majadiliano. 

Katika kikao hicho Hoja ya Uingizaji wa Sukari kutoka Zanzibar katika Soko la Tanzania Bara imeridhiwa na kuondolewa katika orodha ya Hoja za Muungano, ambapo imeshuhudiwa kusainiwa kwa Hati ya makubaliano ya kuondoa Hoja hiyo katika orodha ya Hoja za Muungano ambayo ni miongoni mwa hoja nne za Muungano zilizokuwa zimesalia.

Kikao hicho kimehudhuriwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Waziri Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Masauni, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili ya Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi) Mhe. Hamza Hassan Juma,Mawaziri na Manaibu Mawaziri wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Katibu Mkuu Kiongozi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Bw. Saleh Juma Mussa, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi pamoja na Wataalamu mbalimbali.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi