Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo tarehe 06 Juni 2026, akiongoza mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, baada ya kuhitimisha Ziara ya Kitaifa nchini Urusi kufuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Vladmir Putin.
Na
Robert Hokororo