
Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Latifa Mohammed Khamis kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Tunguu Zanzibar, tarehe 27 Julai, 2026.



Dkt. Latifa Mohammed Khamis na Viongozi wengine Wateule wakiapa kiapo cha uadilifu kwa Viongozi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Tunguu Zanzibar, tarehe 27 Julai, 2026. Dkt. Latifa ameapishwa kuwa Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais.