


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akihutubia wakati wa ufunguzi wa kikao cha Wakuu wa Taasisi za Muungano, kilichofanyika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar leo tarehe 19 Septemba 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Hamad Masauni, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi) Mhe. Hamza Hassan Juma, pamoja na Viongozi mbalimbali wakati alipowasili Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar, kufungua kikao cha Wakuu wa Taasisi za Muungano, leo tarehe 19 Septemba 2026.