Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Mhe Ndejembi: wanawake wapewe nguvu ya maamuzi kulinda amani Maziwa Makuu
Nov 02, 2026
Mhe Ndejembi: wanawake wapewe nguvu ya maamuzi kulinda amani Maziwa Makuu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akipokea tuzo maalum iliyotolewa kwaajili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati wa Mkutano wa Kimataifa wa Wabunge Wanawake wa Nchi Wanachama wa Ukanda wa Maziwa Makuu (FP- ICGLR). Tarehe 02 Novemba 2026. Anayekabidhi ni Mhe. Adao Francisco Correia de Almeida, Rais wa Wabunge wa Nchi Wanachama wa Ukanda wa Maziwa Makuu (FP- ICGLR), na Spika wa Bunge la Kitaifa la Jamhuri ya Angola.
Na Robert Hokororo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Wabunge Wanawake wa Nchi Wanachama wa Ukanda wa Maziwa Makuu (FP- ICGLR), uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), leo tarehe 02 Novemba 2026.

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor