Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Makamu wa Rais kufungua Kikao cha Wenyeviti wa Bodi AICC Arusha
Sep 28, 2026
Makamu wa Rais kufungua Kikao cha Wenyeviti wa Bodi AICC Arusha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akisalimiana na Viongozi mbalimbali, wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ili kuelekea mkoani Arusha kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma, kinachofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC). Tarehe 28 Septemba 2026.
Na Robert Hokororo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akiwa na Viongozi mbalimbali wakishiriki Kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma, kinachofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), leo tarehe 28 Septemba 2026.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor