Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Makamu wa Rais asisitiza mshikamano kuuenzi Muungano
Apr 26, 2026
Makamu wa Rais asisitiza mshikamano kuuenzi Muungano
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Masauni, Waziri wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili ya Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi) Mhe. Hamza Hassan Juma, pamoja, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa (kushoto) na Viongozi mbalimbali wakishiriki Hafla ya Usiku wa Mtanzania iliyofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano. Tarehe 26 Aprili 2026.
Na Robert Hokororo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, ambapo ni mgeni rasmi katika Hafla ya Usiku wa Mtanzania ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano. Tarehe 26 Aprili 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Masauni, Waziri wa  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili ya Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi) Mhe. Hamza Hassan Juma, pamoja, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa (kushoto) na Viongozi mbalimbali wakishiriki Hafla ya Usiku wa Mtanzania iliyofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano. Tarehe 26 Aprili 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akitoa salamu wakati wa Hafla ya Usiku wa Mtanzania iliyofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano. Tarehe 26 Aprili 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akijumuika na Viongozi mbalimbali na wananchi kushiriki Hafla ya Usiku wa Mtanzania iliyofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano. Tarehe 26 Aprili 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akimkabidhi cheti cha shukrani, Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira Dkt. Immaculate Sware Semesi, wakati wa Hafla ya Usiku wa Mtanzania iliyofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano. Tarehe 26 Aprili 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Maandalizi ya Hafla ya Usiku wa Mtanzania iliyofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano. Tarehe 26 Aprili 2026.

Washiriki mbalimbali wa hafla ya Usiku wa Mtanzania wakitoa burudani katika tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano. Tarehe 26 Aprili 2026.

Muimbaji wa muziki wa asili Said Karoli akitoa burudani katika hafla ya Usiku wa Mtanzania, tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano. Tarehe 26 Aprili 2026.

Washiriki mbalimbali wakishiriki hafla ya Usiku wa Mtanzania iliyofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano. Tarehe 26 Aprili 2026.

Washiriki mbalimbali wakitoa burudani wakati wa hafla ya Usiku wa Mtanzania iliyofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano. Tarehe 26 Aprili 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, ambapo ni mgeni rasmi katika Hafla ya Usiku wa Mtanzania ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano. Tarehe 26 Aprili 2026.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor