Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akichangia wakati wa kikao cha Kamati ya Mawaziri wa sekta zenye mnasaba wa masuala ya uchumi wa buluu kilichofanyika jijini Dodoma Aprili 16, 2026.

Mawaziri na Naibu Mawaziri wa sekta zenye mnasaba wa masuala ya uchumi wa buluu wakifuatilia kikao cha kuwasilisha mpango kazi na taarifa ya utekelezaji wa shughuli katika sekta hiyo kilichofanyika jijini Dodoma Aprili 16, 2026.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akitoa neno la utangulizi wakati wa kikao cha Kamati ya Mawaziri wa sekta zenye mnasaba wa masuala ya uchumi wa buluu kwa ajili ya kuwasilisha mpango kazi na taarifa ya utekelezaji wa shughuli katika sekta hiyo kilichofanyika jijini Dodoma Aprili 16, 2026.