Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Matukio ya Viongozi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Bungeni
Apr 15, 2026
Matukio ya Viongozi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Bungeni
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa wakati wa Kikao cha Tisa cha Mkutano wa Tatu Bunge la 13 jijini Dodoma leo Aprili 15, 2026.
Na Robert Hokororo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (kulia) akishiriki Kikao cha Tisa cha Mkutano wa Tatu Bunge la 13 jijini Dodoma leo Aprili 15, 2026. 

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza Johari akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa wakati wa Kikao cha Tisa cha Mkutano wa Tatu Bunge la 13 jijini Dodoma leo Aprili 15, 2026.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, uratibu na Wenye Ulemavu) Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akimsikiliza Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa wakati wa Kikao cha Tisa cha Mkutano wa Tatu Bunge la 13 jijini Dodoma leo Aprili 15, 2026.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi