Matukio ya Viongozi wa Ofisi ya Makamu wa Rais bungeni
Apr 20, 2026
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa (kulia) akizungumza na Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Kundo Mathew wakati wa kikao cha Bunge jijini Dodoma leo Aprili 20, 2026.
Na
Robert Hokororo
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akiwa na Mbunge wa Jimbo la Mwibara Mhe. Kangi Lugola walipokutana kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma leo Aprili 20, 2026.