Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Menejimenti, watumishi Ofisi ya Makamu wa Rais kushuhudia uwasilishaji bajeti
Apr 21, 2026
Menejimenti, watumishi Ofisi ya Makamu wa Rais kushuhudia uwasilishaji bajeti
Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais wakiwasili bungeni tayari kwa ajili ya kusikiliza hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2026/27, inayowasilishwa leo Aprili 21, 2026 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni.
Na Administrator

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi