Mhandisi Masauni, Kwagilwa washiriki kikao cha bunge
Apr 09, 2026
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Zainab Abdallah Issa wakati wa Kikao cha Tano cha Mkutano wa Tatu wa Bunge bungeni jijini Dodoma leo Aprili 09, 2026.
Na
Robert Hokororo
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa (kulia) akishiriki kikao cha Bunge wakati wa majadiliano kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2026/27 bungeni jijini Dodoma leo Aprili 09, 2026.