
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akizungumza wakati wa kikao cha Wakuu wa Taasisi za Muungano, kilichofanyika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar leo tarehe 19 Septemba 2026.

Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Latifa Mohammed Khamis akizungumza wakati wa kikao cha Wakuu wa Taasisi za Muungano, kilichofanyika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar leo tarehe 19 Septemba 2026.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Dkt. Islam Seif Salum akizungumza wakati wa kikao cha Wakuu wa Taasisi za Muungano, kilichofanyika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar leo tarehe 19 Septemba 2026.