
Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Reuben Kwagilwa, akipokea ua mara baada ya kuwasili Ofisi ya Makamu wa Rais zilizopo, Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, Aprili 9, 2026.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Reuben Kwagilwa (Kushoto) akipokelewa na Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Mitawi mara baada ya kuwasili Ofisi hiyo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, Aprili 9, 2026.

Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Reuben Kwagilwa (Kushoto) akipokelewa na Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Balozi Baraka Luvanda, mara baada ya kuwasili Ofisi hiyo, Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, Aprili 9, 2026.


Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Reuben Kwagilwa, akisalimiana na baadhi ya viongozi mbalimbali wa Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais mara baada ya kuwasili Ofisi hizo, Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, Aprili 9, 2026.


Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Reuben Kwagilwa, akisalimiana na baadhi ya viongozi mbalimbali wa Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais mara baada ya kuwasili Ofisi hizo, Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, Aprili 9, 2026.



Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Reuben Kwagilwa, akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ofisi ya Makamu wa Rais, Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, Aprili 9, 2026.
=======================================================================================================
Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Reuben Kwagilwa akiwasili kwa mara ya kwanza katika Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma leo Aprili 09, 2026.
Mhe. Kwagilwa amepokelewa na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi, Naibu Makatibu Wakuu Bw. Abdallah Hassan Mitawi (Muungano), Balozi Baraka Luvanda (Mazingira), Menejimenti na Watumishi wa Ofisi hiyo.
Itakumbukwa kuwa Aprili 08, 2026 katila Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, Mhe. Kwagilwa aliapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kushika wadhifa huo akichukua nafasi ya Mhe. Dkt. Festo Dugange aliyehamishiwa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).