Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

UNDP yaahidi kuendeleza ushirikiano na Ofisi ya Makamu wa Rais
Sep 30, 2026
UNDP yaahidi kuendeleza ushirikiano na Ofisi ya Makamu wa Rais
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi (wa pili kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Tanzania, Shigeki Komatsubara wakati wa mazungumzo baina yaliyofanyika Septemba 30, 2026 katika Ofisi ndogo ya Makamu wa Rais iliyopo Luthuli Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) nchini Tanzania, Clara Makenya.
Na Robert Hokororo

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Tanzania, Shigeki Komatsubara (kushoto) muda mfupi baada ya kumalizika kwa mazungumzo baina yao yaliiyofanyika Septemba 30, 2026 katika Ofisi ndogo ya Makamu wa Rais iliyopo Luthuli Jijini Dar es Salaam.  Kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) nchini Tanzania, Clara Makenya.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor