Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Viongozi Ofisi ya Makamu wa Rais wakiwasili bungeni kufuatilia hotuba ya bajeti
Apr 21, 2026
Viongozi Ofisi ya Makamu wa Rais wakiwasili bungeni kufuatilia hotuba ya bajeti
Naibu Katibu Mkuu (Muungano), Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Mitawi (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Mazingira, Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Kemilembe Mutasa wakiwasili Bungeni leo jioni Aprili 21, 2026 ambapo Ofisi ya Makamu wa Rais katika Kikao cha 13 cha Mkutano wa Tatu wa Bunge la 13 imewasilisha hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2026/27.
Na ROBErt Hokororo

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira), Ofisi ya Makamu wa Rais, Balozi Baraka Luvanda (kulia) pamoja na Mkurugenzi Idara ya Sera na Mipango, Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Said Mabie wakiwasili Bungeni leo jioni Aprili 21, 2026 ambapo Ofisi ya Makamu wa Rais katika Kikao cha 13 cha Mkutano wa Tatu wa Bunge la 13 imewasilisha hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2026/27.

Naibu Katibu Mkuu (Muungano), Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Mitawi (kushoto) pamoja na Naibu Katibu Mkuu (Mazingira), Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Baraza Luvanda wakiwa katika viunga vya Bunge, tayari kwa ajili ya kuingia bungeni kusikiliza hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2026/27, inayowasilishwa leo Aprili 21, 2026 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi