Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Viongozi TAMISEMI, wananchi watembelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais Nanenane
Aug 07, 2026
Viongozi TAMISEMI, wananchi watembelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais Nanenane
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI (Afya), Prof. Tumaini Nagu (kushoto), akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira, Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Kemilembe Mutasa, mara baada ya kutembelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais katika Maonesho ya Nane Nane yanayofanyika jijini Dodoma.
Na Robert Hokororo

Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira, Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Kemilembe Mutasa (kushoto), akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu masuala mbalimbali ya mazingira, wakati wa Maonesho ya Nane Nane yanayofanyika jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Bw. Sospeter M. Mtwale (kushoto), akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Sarah Kibonde, mara baada ya kutembelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais katika Maonesho ya Nane Nane yanayofanyika jijini Dodoma.

Wananchi mbalimbali wakitembelea na kupata elimu katika banda la Ofisi ya Makamu wa Rais wakati wa Maonesho ya Nane Nane yanayofanyika jijini Dodoma.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor