Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni akiwasilisha taarifa kuhusu utekelezaji wa kuanzishwa kwa Akaunti ya pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mchakato wa kuundwa kwa Tume ya kusimamia akaunti hiyo na mchakato wa kujenga Ofisi za Kimuungano Zanzibar kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kamati ya Utawala, Katiba na Sheria jijini Dodoma leo Januari 21, 2025.
Read More