Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Bw. Johnson Nkondo aliyekuwa Msaidizi wa Ofisi Mkuu - Ofisi ya Makamu wa Rais mara baada ya kuwasili katika makazi ya familia eneo la Veyula mkoani Dodoma leo tarehe 16 Februari 2025. (Pembeni ni mwenza wa Makamu wa Rais Mama Mbonimapaye Mpango) Read More
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akijibu maswali wakati wa Kikao cha 14 cha Mkutano wa 18 wa Bunge jijini Dodoma leo Februari 14, 2025. Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Uganda nchini Tanzania Mhe. Kanali Mstaafu Fred Mwesigye, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 13 Februari 2025. Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni akizungumza wakati wa kikao cha Mawaziri cha kuwasilisha mpango kazi wa utekelezaji wa shughuli za Uchumi wa Buluu nchini kwa mwaka 2024/25 na 2025/26 kilichofanyika Dodoma Februari 13, 2025. Read More
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akijibu maswali wakati wa Kikao cha 12 cha Mkutano wa 18 wa Bunge jijini Dodoma leo Februari 12, 2025. Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni akiwasilisha bungeni jijini Dodoma, Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Usimamizi wa Mazingira wa Mwaka 2024, leo Februari 12, 2025. Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kikao Kazi cha Tano cha Serikali Mtandao kinachofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC). Tarehe 11 Februari 2025. Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki Mkutano wa 42 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Bodi ya Juu ya Shirika la Maendeleo la Umoja wa Afrika (AUDA – NEPAD) uliofanyika kwa njia ya Mtandao na kuongozwa na Mwenyekiti wa Bodi hiyo ambaye ni Rais wa Misri Mhe. Abel Fattah El- Sisi. Tarehe 10 Februari 2025 - Dodoma. Read More
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa