Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akichangia taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kwa mwaka 2024 iliyowasilishwa bungeni jijini Dodoma leo Februari 05, 2025.
Read More