Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na waumini mara baada ya kushiriki Ibada ya Sikukuu ya Krismasi katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege Dodoma tarehe 25 Desemba 2024. Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Uzinduzi wa Mpango wa Makazi kwa Watumishi wa Umma katika wa hafla iliyofanyika eneo la Njedengwa Mkoani Dodoma tarehe 11 Desemba 2024. Read More
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akijibu maswali wakati wa Kikao cha nne, Mkutano wa 17 wa Bunge, bungeni jijini Dodoma leo Novemba mosi, 2024. Read More
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa