Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na Mabalozi Wateule wanaokwenda kuiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mataifa mbalimbali, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma, leo tarehe 13 Aprili 2026
Read More