Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akizungumza wakati wa uzinduzi wa zoezi la upandaji wa miti kuelekea kumbukizi ya miaka 104 ya kuzaliwa kwa Baba wa Taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere Aprili 11, 2026. Zoezi hilo limefanyika katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma leo Aprili 01, 2026. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Baraka Luvanda na Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Bw. Peter Mavunde.
Read More