Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Hamad Yussuf Masauni akifafanua jambo alipowasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa mwaka 2025/26 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2026/27 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Bungeni Dodoma Machi 26,2026.
Read More