Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Balozi Luvanda aapishwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Mazingira
Feb 09, 2026
Balozi Luvanda aapishwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Mazingira
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Baraka Haran Luvanda kuwa Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Februari 09, 2026
Na Robert Hokororo

Balozi Baraka Haran Luvanda akiapishwa kuwa Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Februari 09, 2026.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi