Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Makamu wa Rais awasili viwanja vya Nanenane, Dodoma
Aug 03, 2026
Makamu wa Rais awasili viwanja vya Nanenane, Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili na kutembelea mabanda mbalimbali ya maonesho ya Kimataifa ya Nane Nane kwa mwaka 2026 yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya John Malecela Jijini Dodoma. Makamu wa Rais ni mgeni rasmi katika Siku Maalum ya Ushirika na Maadhimisho ya Miaka 10 ya Taasisi ya Kilimo Tanzania (TARI) inayofanyika leo tarehe 03 Agosti 2026 katika Maonesho ya Nane Nane Dodoma.
Na Robert Hokororo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisikiliza maelezo mbalimbali wakati alipotembelea banda la mdhamini mkuu wa Maonesho ya Maonesho ya Kimataifa ya Nane Nane kwa mwaka 2026 ambaye ni Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) wakati alipotembelea banda hilo katika maonesho yanayofanyika katika Viwanja vya John Malecela, Nzuguni Jijini Dodoma, tarehe 03 Agosti 2026. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa na Viongozi mbalimbali wakaitembelea maeneo mbalimbali ya Maonesho ya Kimataifa ya Nane Nane kwa mwaka 2026 yanayofanyika katika Viwanja vya John Malecela, Nzuguni Jijini Dodoma, tarehe 03 Agosti 2026. 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor