Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Wananchi waendelea kufurahia elimu kutoka banda la Ofisi ya Makamu wa Rais Nanenane Dodoma
Aug 02, 2026
Wananchi waendelea kufurahia elimu kutoka banda la Ofisi ya Makamu wa Rais Nanenane Dodoma
Wananchi mbalimbali leo, Agosti 2, 2026, wameendelea kutembelea Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais katika Viwanja vya Maonesho ya Nane Nane, Dodoma, kujionea na kujifunza kuhusu masuala ya mazingira, Muungano na uchumi wa buluu, pamoja na huduma na mafanikio yanayotekelezwa na Ofisi hiyo. Hii ni siku ya pili tangu maonesho hayo yafunguliwe rasmi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba.
Na Administrator

Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya banda la maonesho la Ofisi hiyo katika Maonesho ya 33 ya Nane Nane, leo Agosti 2, 2026. Leo ni siku ya pili tangu kuanza kwa maonesho hayo, ambapo banda la Ofisi ya Makamu wa Rais linaendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu masuala ya mazingira, Muungano na uchumi wa buluu, pamoja na majukumu na huduma mbalimbali zinazotekelezwa na Ofisi hiyo.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor