Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Dkt. Richard Muyungi ateta na wadau wa Mazingira wa ‘Kazzi Group’
Feb 05, 2026
Dkt. Richard Muyungi ateta na wadau wa Mazingira wa ‘Kazzi Group’
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akifanya mazungumzo na wadau wa Uhifadhi na Utunzaji wa Mazingira kutoka Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya ‘Kazzi Group’ ambao wameonesha nia katika kuunga mkono juhudi za Serikali katika Uhifadhi na Utunzaji wa Mazingira, jijini Dodoma Februari 5,2025.
Na Robert hokororo

============================================================================================

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi aamekutana na kufanya mazungumzo na wadau wa Uhifadhi na Utunzaji wa Mazingira kutoka Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya ‘Kazzi Group’ ambao wameonesha nia katika kuunga mkono juhudi za Serikali katika Uhifadhi na Utunzaji wa Mazingira, jijini Dodoma Februari 5,2025.

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi