Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Kamati ya Bunge ya Maji na Mazingira, Ofisi ya Makamu wa Rais wakutana
Aug 22, 2026
Kamati ya Bunge ya Maji na Mazingira, Ofisi ya Makamu wa Rais wakutana
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akifafanua hoja mbalimbali wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira cha kupokea ufafanuzi wa Serikali kuhusu Mkataba wa Uanzishwaji wa Taasisi ya Ukuzaji wa Maendeleo ya Kijani Duniani (Global Green Growth Institute - GGGI) kabla ya kuridhiwa, kikao kilichofanyika jijini Dodoma leo Agosti 22, 2026.
Na Robert Hokororo

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akifafanua hoja mbalimbali wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira cha kupokea ufafanuzi wa Serikali kuhusu Mkataba wa Uanzishwaji wa Taasisi ya Ukuzaji wa Maendeleo ya Kijani Duniani (Global Green Growth Institute - GGGI) kabla ya kuridhiwa, kikao kilichofanyika jijini Dodoma leo Agosti 22, 2026. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Dkt. Latifa Mohammed Khamis.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akifafanua hoja mbalimbali wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira cha kupokea ufafanuzi wa Serikali kuhusu Mkataba wa Uanzishwaji wa Taasisi ya Ukuzaji wa Maendeleo ya Kijani Duniani (Global Green Growth Institute - GGGI) kabla ya kuridhiwa, kikao kilichofanyika jijini Dodoma leo Agosti 22, 2026.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mhe. Prof. Pius Yanda akizungumza wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira cha kupokea ufafanuzi wa Serikali kuhusu Mkataba wa Uanzishwaji wa Taasisi ya Ukuzaji wa Maendeleo ya Kijani Duniani (Global Green Growth Institute - GGGI) kabla ya kuridhiwa, kikao kilichofanyika jijini Dodoma leo Agosti 22, 2026.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa (kulia) akiwa na Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Dkt. Latifa Mohammed Khamis wakishiriki kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira cha kupokea ufafanuzi wa Serikali kuhusu Mkataba wa Uanzishwaji wa Taasisi ya Ukuzaji wa Maendeleo ya Kijani Duniani (Global Green Growth Institute - GGGI) kabla ya kuridhiwa, kikao kilichofanyika jijini Dodoma leo Agosti 22, 2026.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira wakishiriki kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira cha kupokea ufafanuzi wa Serikali kuhusu Mkataba wa Uanzishwaji wa Taasisi ya Ukuzaji wa Maendeleo ya Kijani Duniani (Global Green Growth Institute - GGGI) kabla ya kuridhiwa, kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Philip Marmo uliopo ofisi za Bunge jijini Dodoma leo Agosti 22, 2026.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor