Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wapigwa msasa
Aug 20, 2026
Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wapigwa msasa
Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakipatiwa Mafunzo kuhusu masuala ya kiutumishi yakiwemo Taratibu za Utumushi wa Umma, Maadili na Itifaki katika Utumishi wa Umma. Mafunzo yametolewa na Mtaalamu kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Oswin Mkinga, katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mtumba jijini Dodoma Agosti 20, 2026.
Na Robert Hokororo

Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakipatiwa Mafunzo kuhusu masuala ya kiutumishi yakiwemo Taratibu za Utumushi wa Umma, Maadili na Itifaki katika Utumishi wa Umma.

Mafunzo yametolewa na Mtaalamu kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Oswin Mkinga, katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mtumba jijini Dodoma Agosti 20, 2026.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor