
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na Mama Janeth Magufuli ambaye ni mjane wa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, wakati alipomtembelea katika makazi yake Chato mkoani Geita, leo tarehe 16 Machi 2026.