
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu Mhe. Dkt. Philip Mpango wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, inayofanyika Chato mkoani Geita, leo tarehe 17 Machi 2026. Wa pili kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Kassim Majaliwa.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisalimiana na Jaji wa Makama Kuu ya Tanzania George Masaju wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, inayofanyika Chato mkoani Geita, leo tarehe 17 Machi 2026. Katikati ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu Mhe. Dkt. Philip Mpango.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, inayofanyika Chato mkoani Geita, leo tarehe 17 Machi 2026.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiungana na Viongozi wengine wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, inayofanyika Chato mkoani Geita, leo tarehe 17 Machi 2026.


Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge – Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi akiongoza Adhimisho la Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, inayofanyika Chato mkoani Geita, leo tarehe 17 Machi 2026.



Viongozi na wananchi mbalimbali wakishiriki Adhimisho la Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, inayofanyika Chato mkoani Geita, leo tarehe 17 Machi 2026.