Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Makamu wa Rais awasili Chato kushiriki kumbukizi Hayati Dkt. Magufuli
Mar 16, 2026
Makamu wa Rais awasili Chato kushiriki kumbukizi Hayati Dkt. Magufuli
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita, leo Machi 16, 2026 ambapo atakuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, itakayofanyika kesho Machi 17, 2026 Chato mkoani Geita.
Na Administrator

=======================================================================================================

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita, leo tarehe 16 Machi 2026. 

Mhe. Dkt. Nchimbi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, itakayofanyika kesho tarehe 17 Machi 2026 Chato mkoani Geita.

Alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Chato amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigela na Viongozi mbalimbali.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi