Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Naibu Katibu Mkuu Mazingira awasili rasmi Ofisi ya Makamu wa Rais Dodoma
Feb 12, 2026
Naibu Katibu Mkuu Mazingira awasili rasmi Ofisi ya Makamu wa Rais Dodoma
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Baraka Luvanda akiwasili rasmi katika Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma, Februari 12, 2026 baada ya kuapishwa Ikulu, Dar es Salaam hivi karibuni.
Na Robert Hokororo

=================================================================================

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Baraka Luvanda akiwasili rasmi katika Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma, Februari 12, 2026 baada ya kuapishwa Ikulu, Dar es Salaam hivi karibuni.

Akizungumza na watumishi wa Ofisi hiyo, Balozi Luvanda amesisitiza kuhusu suala la ushirikiano katika kazi itasaidia kufanikisha kutimiza lengo la ofisi.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi