Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Tanzania, Qatar kukuza uwekezaji
Feb 20, 2026
Tanzania, Qatar kukuza uwekezaji
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akifanya mazugumzo na Balozi wa Qatar nchini Tanzania Mhe. Fahad Rashid Al-Marekhi, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 20 Februari 2026.
Na Robert Hokororo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akifanya mazugumzo na Balozi wa Qatar nchini Tanzania Mhe. Fahad Rashid Al-Marekhi, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 20 Februari 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiagana na Balozi wa Qatar nchini Tanzania Mhe. Fahad Rashid Al-Marekhi, mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 20 Februari 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa na Balozi wa Qatar nchini Tanzania Mhe. Fahad Rashid Al-Marekhi, katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 20 Februari 2026.

=========================================================================

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amekutana na kufanya mazugumzo na Balozi wa Qatar nchini Tanzania Mhe. Fahad Rashid Al-Marekhi, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 20 Februari 2026.

 

Mazungumzo hayo, yameangazia ushirikiano uliopo baina ya Qatar na Tanzania na kulenga kuimarisha zaidi uhusiano wa kidiplomasia pamoja na kukuza uwekezaji na biashara baina ya Mataifa hayo mawili.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi