Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Viongozi Ofisi ya Makamu wa Rais wakishiriki Kikao cha Bunge
May 05, 2026
Viongozi Ofisi ya Makamu wa Rais wakishiriki Kikao cha Bunge
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akishiriki kikao cha Bunge jijini Dodoma leo Mei 05, 2026.
Na robert Hokororo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (nyuma katikati) akijumuika na Mawaziri wa Wizara mbalimbali kushiriki kikao cha Bunge jijini Dodoma leo Mei 05, 2026. 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akijumuika na Mawaziri wa Wizara mbalimbali kushiriki kikao cha Bunge jijini Dodoma leo Mei 05, 2026. 

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akishiriki kikao cha Bunge jijini Dodoma leo Mei 05, 2026. 

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akishiriki kikao cha Bunge jijini Dodoma leo Mei 05, 2026. Kuanzia kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Mhandisi Mshamu Munde, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki Mhe. James Millya na mbele ni Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dkt. Steven Kiruswa.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akijumuika na Mawaziri, Naibu Mawaziri na Wabunge wakati wa kikao cha Bunge jijini Dodoma leo Mei 05, 2026. 

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akifuatilia matukio mbalimbali wakati wa kikao cha Bunge jijini Dodoma leo Mei 05, 2026. 

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akifuatilia matukio mbalimbali wakati wa kikao cha Bunge jijini Dodoma leo Mei 05, 2026. Katikati ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano) Bi. Mary Maganga.

Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Ruto akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali akiwemo Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi mara baada ya Rais Ruto kulihutubia Bunge jijini Dodoma leo Mei 05, 2026.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi