


===================================================================================
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe. Yahya Bin Ahmed Okeish, jijini Dar es Salaam, Februari 16, 2026, lengo la kukutana viongozi hao ni kuhusu Uhifadhi na Utunzaji wa Mazingira.