Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard katika Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar akizungumza wakati wa ziara yake katika Ofisi hiyo Januari 22, 2026 iliyolenga kujitambulisha kwake na kuimarisha mashirikiano baina yao. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Bi. Maryam Juma Abdalla.
Read More