Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Dkt Muyungi, Mckinsey wateta kuimarisha ushirikiano hifadhi ya mazingira
Jul 22, 2026
Dkt Muyungi, Mckinsey wateta kuimarisha ushirikiano hifadhi ya mazingira
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi akizungumza na Mdau wa Maendeleo kutoka Taasisi ya Mckinsey & Company Bi. Gillian Pais ofisini kwake jijini Dodoma leo Julai 22, 2026. Mazungumzo hayo yamelenga kujenga ushirikiano kati ya Ofisi ya Makamu wa Rais na taasisi hiyo katika masuala ya uhifadhi wa mazingira.
Na Robert Hokororo

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi akizungumza na Mdau wa Maendeleo kutoka Taasisi ya Mckinsey & Company Bi. Gillian Pais (hayupo pichani) ofisini kwake jijini Dodoma leo Julai 22, 2026. Mazungumzo hayo yamelenga kujenga ushirikiano kati ya Ofisi ya Makamu wa Rais na taasisi hiyo katika masuala ya uhifadhi wa mazingira.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi akizungumza na Mdau wa Maendeleo kutoka Taasisi ya Mckinsey & Company Bi. Gillian Pais ofisini kwake jijini Dodoma leo Julai 22, 2026. Mazungumzo hayo yamelenga kujenga ushirikiano kati ya Ofisi ya Makamu wa Rais na taasisi hiyo katika masuala ya uhifadhi wa mazingira.

Mdau wa Maendeleo kutoka Taasisi ya Mckinsey & Company Bi. Gillian Pais akizungumza na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi (hayupo pichani) ofisini kwa Katibu Mkuu jijini Dodoma leo Julai 22, 2026. Mazungumzo hayo yamelenga kujenga ushirikiano kati ya Ofisi ya Makamu wa Rais na taasisi hiyo katika masuala ya uhifadhi wa mazingira.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi akiwa katika picha ya pamoja na Mdau wa Maendeleo kutoka Taasisi ya Mckinsey & Company Bi. Gillian Pais ofisini kwake jijini Dodoma leo Julai 22, 2026. Mazungumzo hayo yamelenga kujenga ushirikiano kati ya Ofisi ya Makamu wa Rais na taasisi hiyo katika masuala ya uhifadhi wa mazingira.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor