
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisaliamiana na aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jaji. Joseph Sinde Warioba, mara baada ya kuwasili katika makazi yake, Mbezi Juu Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kumjulia hali, leo Julai 04, 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa na aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jaji. Joseph Sinde Warioba, mara baada ya kuwasili katika makazi yake, Mbezi Juu Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kumjulia hali, leo Julai 04, 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa kwenye picha ya pamoja na aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jaji. Joseph Sinde Warioba, alipomtembelea na kumjulia halia katika makazi yake, Mbezi Juu Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kumjulia hali, leo Julai 04, 2024.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa na aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jaji. Joseph Sinde Warioba, mara baada ya kumtembelea na kumjulia hali katika makazi yake, Mbezi Juu Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kumjulia hali, leo Julai 04, 2024.