Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Makamu wa Rais awasili Songea kushiriki mazishi ya Marehemu Jenista Mhagama
Dec 16, 2025
Makamu wa Rais awasili Songea kushiriki mazishi ya Marehemu Jenista Mhagama
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Songea mkoani Ruvuma leo tarehe 15 Desemba 2025. Makamu wa Rais anatarajia kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Joakim Mhagama, yatakayofanyika katika Kijiji cha Ruanda mkoani Ruvuma tarehe 16 Desemba 2025.
Na Robert hokororo

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi