Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Makamu wa Rais ashiriki Semina elekezi ya Mawaziri Zanzibar
Jul 28, 2026
Makamu wa Rais ashiriki Semina elekezi ya Mawaziri Zanzibar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki ufunguzi wa Semina Elekezi kwa Mawaziri, Naibu Mawaziri na Makatibu Wakuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, iliyofunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Semina hiyo inayohusu Umuhimu wa Mawasiliano Serikalini, imefanyika leo tarehe 28 Julai, 2026, Ikulu ya Tunguu, Zanzibar.
Na Robert Hokororo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameshiriki ufunguzi wa Semina Elekezi kwa Mawaziri, Naibu Mawaziri na Makatibu Wakuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, iliyofunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Semina hiyo inayohusu Umuhimu wa Mawasiliano Serikalini, imefanyika leo tarehe 28 Julai, 2026, Ikulu ya Tunguu, Zanzibar.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki ufunguzi wa Semina Elekezi kwa Mawaziri, Naibu Mawaziri na Makatibu Wakuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, iliyofunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Semina hiyo inayohusu Umuhimu wa Mawasiliano Serikalini, imefanyika leo tarehe 28 Julai, 2026, Ikulu ya Tunguu, Zanzibar.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor