
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akizungumza na viongozi wa Serikali, watendaji na wadau alipokagua mazingira ya pwani ya Tanga na kushiriki zoezi la upandaji wa mikoko Julai 02, 2026.


Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akishiriki zoezi la upandaji wa mikoko katika eneo la pwani ya Mkoa wa Tanga Julai 02, 2026.

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Baraka Luvanda akishiriki zoezi la upandaji wa mikoko katika eneo la pwani ya Mkoa wa Tanga lililoongozwa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa Julai 02, 2026.

Katibu Tawala Mkoa wa Tanga Bw. Rashid Mchatta akishiriki zoezi la upandaji wa mikoko katika eneo la pwani ya Mkoa wa Tanga lililoongozwa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben KwagilwaJulai 02, 2026.


Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa akikagua mazingira na kupanda mikoko katika eneo la pwani ya Mkoa wa Tanga Julai 02, 2026.