Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Naibu Waziri kwagilwa ashiriki uzinduzi wa meli, SGR Kigoma
Jul 20, 2026
Naibu Waziri kwagilwa ashiriki uzinduzi wa meli, SGR Kigoma
Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Reuben Kwagilwa (katikati mwenye kaunda suti) akishiriki hafla ya uzinduzi wa meli nne za mizigo zitakazotoa huduma katika Ziwa Tanganyika pamoja na uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa kipande cha sita cha Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Kigoma hadi Tabora, iliyofanyika mkoani Kigoma Julai 20,2026. Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Na Robert Hokororo

Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Reuben Kwagilwa (kulia) akizungumza na Naibu Waziri wa Fedha Laurent Luswetula wakati wa hafla ya uzinduzi wa meli nne za mizigo zitakazotoa huduma katika Ziwa Tanganyika pamoja na uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa kipande cha sita cha Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Kigoma hadi Tabora, iliyofanyika mkoani Kigoma Julai 20,2026.

Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Reuben Kwagilwa akisalimiana na Makamu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira ambaye pia ni Mbunge wa Buhigwe Mhe. Prof. Pius Yanda wakati wa hafla ya uzinduzi wa meli nne za mizigo zitakazotoa huduma katika Ziwa Tanganyika pamoja na uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa kipande cha sita cha Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Kigoma hadi Tabora, iliyofanyika mkoani Kigoma Julai 20,2026.

Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor