Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Waziri Masauni awasili Mkoa wa Pwani kwa ziara
Jul 20, 2026
Waziri Masauni awasili Mkoa wa Pwani kwa ziara
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (kulia) akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge mara baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi ambayo anatarajia kuifanya kuanzia leo Julai 20,2026.
Na Robert Hokororo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani kwa ajili ya ziara ya kikazi ambayo anatarajia kuifanya mkoani humo kuanzia leo Julai 20,2026.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Pwani mara baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi ambayo anatarajia kuifanya kuanzia leo Julai 20,2026.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor