Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Waziri, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais washiriki Semina elekezi Zanzibar
Jul 28, 2026
Waziri, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais washiriki Semina elekezi Zanzibar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (kulia) akishiriki Semina Elekezi kwa Mawaziri, Naibu Mawaziri na Makatibu Wakuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, iliyofunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Semina hiyo imefanyika leo Julai 28, 2026, Ikulu ndogo, Tunguu, Zanzibar, ikiwa na mada kuhusu Umuhimu wa Mawasiliano Serikalini.
Na Administrator

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa (kushoto) na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi (nyuma kulia) wakishiriki Semina Elekezi kwa Mawaziri, Naibu Mawaziri na Makatibu Wakuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, iliyofunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Semina hiyo imefanyika leo Julai 28, 2026, Ikulu ndogo, Tunguu, Zanzibar, ikiwa na mada kuhusu Umuhimu wa Mawasiliano Serikalini.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor