Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akijibu maswali wakati wa Kikao cha Saba cha Mkutano wa 18 wa Bunge jijini Dodoma leo Februari 05, 2025. Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masaunia akizungumza wakati wa ziara ya Mafunzo kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, Biashara ya Kaboni na Shughuli za Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji wa Kaboni (NCMC). Read More
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akijibu maswali wakati wa Kikao cha Tano cha Mkutano wa 18 wa Bunge jijini Dodoma Januari 03, 2025. Read More
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akijibu maswali bungeni jijini Dodoma wakati wa Kikao cha Nne cha Mkutano wa 18 wa Bunge leo Januari 31, 2025. Read More
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Khamis Hamza Khamis akijibu maswali bungeni jijini Dodoma wakati wa Kikao cha Nne cha Mkutano wa 18 wa Bunge leo Januari 31, 2025. Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Yusuf Masauni akifungua Mkutano wa Kwanza wa Kamati Tendaji ya Mkataba wa Nairobi kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi Baada ya Mkutano Mkuu wa 11 wa nchi Wanachama uliofanyika jijini Dar es Salaam leo Januari 30, 2025. Read More
Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi akifungua kikao cha wadau kuhusu kubadilishana uzoefu wa udhibiti na usimamizi wa taka za plastiki nchini, kilichofanyika Dodoma Januari 30,2025. Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Nne la Kimataifa la Kisayansi la Maji linalofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam. Tarehe 29 Januari 2025. Read More
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa