Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Ofisi ya Makamu wa Rais yawanoa wataalamu mfumo wa matumizi ya nishati safi
Jul 28, 2026
Ofisi ya Makamu wa Rais yawanoa wataalamu mfumo wa matumizi ya nishati safi
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Thomas Chali akifungua mafunzo kuhusu mfumo wa matumizi ya nishati safi kwa wataalamu taasisi na wizara za kisekta. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dodoma Julai 28, 2026.
Na Robert Hokororo

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Thomas Chali akifungua mafunzo kuhusu mfumo wa matumizi ya nishati safi kwa wataalamu kutoka taasisi na wizara za kisekta. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dodoma Julai 28, 2026.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Tekonolojia ya Habari na Mawasiliano Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Joyce Mnunguli akitoa neno la utangulizi wakati wa mafunzo kuhusu mfumo wa matumizi ya nishati safi kwa wataalamu kutoka taasisi na wizara za kisekta. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dodoma Julai 28, 2026.

Washiriki wakiwa katika mafunzo kuhusu mfumo wa matumizi ya nishati safi kwa wataalamu kutoka taasisi na wizara za kisekta yaliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dodoma Julai 28, 2026.

Afisa Mazingira anayesimamia mfumo wa mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Enock Sanga akitoa mada kuhusu utendaji kazi wa mfumo huo wakati wa mafunzo kuhusu mfumo wa matumizi ya nishati safi kwa wataalamu kutoka taasisi na wizara za kisekta. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dodoma Julai 28, 2026.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor