Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu Rasmi ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Makamu wa Rais Mgeni Rasmi Mkutano wa TAPSEA jijini Arusha
May 20, 2026
Makamu wa Rais Mgeni Rasmi Mkutano wa TAPSEA jijini Arusha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo tarehe 20 Mei 2026 akiwasili mkoani Arusha kwa shughuli za Kikazi.
Na Robert Hokororo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo tarehe 20 Mei 2026 amewasili mkoani Arusha kwa shughuli za Kikazi. 

Pamoja na mambo mengine Mhe. Makamu wa Rais anatarajiwa mgeni rasmi katika Mkutano wa 13 wa Kitaaluma wa Waandishi Waendesha Ofisi Tanzania (TAPSEA) utakaofanyika kesho tarehe 21 Mei 2026 katika Ukumbi wa Ngurudoto mkoani Arusha.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi

slot gacor