Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi (kushoto) akifanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la linalojihusisha na uhifadhi la Frankfurt Zoologist Society (FSZ) la nchini Ujerumani, Dkt. Maurus Msuha (hayupo pichani), ofisini kwake jijini Dodoma Dodoma leo Julai 22, 2026.
Read More